Обма́н
bakunja (-; ma-), chenga (-), danganyo (ma-), ghalati (-), ghashi (-), ghi[li]ba (-), ghururi (-; ma-), hadaa (-), hila (-), kaida (-), kedi (-), kengo (-), kimasomaso ед., kimkumku ед., kitimbi (vi-), limuko (ma-), mafamba мн., makri (-),
mauzauza мн., punjo (ma-), uayari ед., ubazazi ед., udanganyifu ед., uhuni ед., ujanja ед., ukorofi ед., ulaghai eд., ulanguzi ед., unaa ед., upotevu ед., ushaufu ед., usongombwingo ед., uwongo ед., uzandiki ед.;
ukopi ед., leba (-) (редко);
ло́вкий обма́н зре́ния — mangazimbwe мн., mazingaombwe мн.